Swali: Mtoto mwenye kunyonya akitapika kwenye nguo ni najisi ambayo ni wajibu kuiosha? Je, matapishi ya mtu mkubwa ni najisi?
Jibu: Ndio, matapishi ni najisi sawa ya mtoto na ya mkubwa. Kwa sababu matapishi yanatoka kwenye chakula. Ni najisi. Kunaoshwa pale ambapo yameshika, sawa yawe ni matapishi ya mtoto au ya mkubwa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (37) http://alfawzan.af.org.sa/node/2148
- Imechapishwa: 13/07/2020
Swali: Mtoto mwenye kunyonya akitapika kwenye nguo ni najisi ambayo ni wajibu kuiosha? Je, matapishi ya mtu mkubwa ni najisi?
Jibu: Ndio, matapishi ni najisi sawa ya mtoto na ya mkubwa. Kwa sababu matapishi yanatoka kwenye chakula. Ni najisi. Kunaoshwa pale ambapo yameshika, sawa yawe ni matapishi ya mtoto au ya mkubwa.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (37) http://alfawzan.af.org.sa/node/2148
Imechapishwa: 13/07/2020
https://firqatunnajia.com/matapishi-ni-najisi-%e2%80%82/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)