Matangazo ya pafyumu zilizopewa majina ya pombe

Swali: Kuna mtu anatengeneza pafyumu na kuziita kwa majina mbalimbali ya pombe ili ziweze kuuzikana. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Pombe zinaenezwa? Haijuzu kufanya hivo. Wala asiite kitu kwa lisilokuwa jina lake. Pombe ni haramu, wala kitu halali hakitakiwi kuitwa kwa jina lake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 17/04/2021