Swali: Ni vipi mtu atasawazisha haki ya mke wake na kutangamana na yeye na watoto wake na kujifunza elimu? Je, ni kutumia vibaya haki yake pale anapotoka kila siku kwa ajili ya kutafuta elimu wakati yeye yuko nyumbani na watoto wake?

Jibu: Si katika haki yake kuwa naye kila wakati. Haki yake ni yeye kulala kwake. Mchana anatoka kwa ajili ya kujifunza elimu na kutafuta riziki. Si haki yake yeye mwanamme kuwa mfungwa kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
  • Imechapishwa: 13/04/2023