Masikio yanafutwa kwa maji hayohayo ya kichwani

Swali: Kupangusa masikio inakuwa kwa maji hayohayo ya kichwani au baada yake?

Jibu: Kwa maji hayohayo ya kichwani, kwa sababu masikio mawili ni sehemu ya kichwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24723/متى-يكون-مسح-الاذنين-في-الوضوء
  • Imechapishwa: 02/12/2024