Swali: Mwenye kuswali akiwekea mashaka kama amesoma al-Faatihah au hakusoma, kisha akawa ameisoma mara nyingine, je, juu yake ana Sujuud-us-Sahuw kwa kuwa ametilia shaka juu ya nguzo?
Jibu: Ndio. Anachotakiwa aisome na ahakikishe kuwa ameisoma halafu asujudu Sujuud-us-Sahuw kwa kuwekea kwake shaka.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket