Swali: Ni kwa nini kuna tofauti katika kuwaita wana wa Israaiyl ndani ya Qur-aan; mara Allaah anawaita wana wa Israaiyl na mara nyingine Allaah (´Azza wa Jall) anawaita mayahudi?
Jibu: Israaiyl ni jina la Ya´quub (´alayhis-Salaam), na wao ni wanawe. Mayahudi na manaswara ni katika kizazi cha Ya´quub (´alayhis-Salaam). Kwa hiyo nchi hii huitwa nchi ya mayahudi, na huitwa pia nchi ya Israaiyl. Baadhi ya watu humlaani Israaiyl, jambo ambalo halifai. Kwa sababu hilo ni jina la Nabii. Bali awalaani mayahudi, kwa sababu mayahudi ni sehemu ya wana wa Israaiyl.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
- Imechapishwa: 25/09/2026
Swali: Ni kwa nini kuna tofauti katika kuwaita wana wa Israaiyl ndani ya Qur-aan; mara Allaah anawaita wana wa Israaiyl na mara nyingine Allaah (´Azza wa Jall) anawaita mayahudi?
Jibu: Israaiyl ni jina la Ya´quub (´alayhis-Salaam), na wao ni wanawe. Mayahudi na manaswara ni katika kizazi cha Ya´quub (´alayhis-Salaam). Kwa hiyo nchi hii huitwa nchi ya mayahudi, na huitwa pia nchi ya Israaiyl. Baadhi ya watu humlaani Israaiyl, jambo ambalo halifai. Kwa sababu hilo ni jina la Nabii. Bali awalaani mayahudi, kwa sababu mayahudi ni sehemu ya wana wa Israaiyl.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
Imechapishwa: 25/09/2026
https://firqatunnajia.com/mara-wana-wa-israaiyl-mara-nyingine-mayahudi/