Swali: Mtu huyu mara nyingi anapitwa na swalah ya Fajr na anaiswali baada ya kutoka wakati wake kwa sababu ya usingizi. Je, anapata dhambi kwa hilo na inahesabika ni katika unafiki?
Jibu: Haijuzu ikiwa atazoe kufanya hivi. Ama ikimpitikia baadhi ya nyakati, anataka kuamka na ameazimia kufanya hivo, lakini hata hivyo baadhi ya usiku usingizi ukamuia mzito pasi na kukusudia, huyu anapewa udhuru. Ama yule mwenye kuendelea kufanya hivi, haijuzu.
Isitoshe hulala wapi? Je, halali kati ya watu wengine, hana saa na alamu?
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Mtu huyu mara nyingi anapitwa na swalah ya Fajr na anaiswali baada ya kutoka wakati wake kwa sababu ya usingizi. Je, anapata dhambi kwa hilo na inahesabika ni katika unafiki?
Jibu: Haijuzu ikiwa atazoe kufanya hivi. Ama ikimpitikia baadhi ya nyakati, anataka kuamka na ameazimia kufanya hivo, lakini hata hivyo baadhi ya usiku usingizi ukamuia mzito pasi na kukusudia, huyu anapewa udhuru. Ama yule mwenye kuendelea kufanya hivi, haijuzu.
Isitoshe hulala wapi? Je, halali kati ya watu wengine, hana saa na alamu?
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/mara-nyingi-fajr-inampita-kwa-usingizi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)