Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Yule mwenye kupenda kwa ajili ya Allaah, akachukia kwa ajili ya Allaah, akatoa kupeana kwa ajili ya Allaah na akazuia kutopeana kwa ajili ya Allaah, basi kwa hakika imekamilika imani yake.”[1]
Je, yule ambaye moyoni mwake kunapatikana mapenzi kwa watu wa Bid´ah hiyo ina maana kwamba imani na dini yake vina mapungufu?
Jibu: Hapana shaka juu ya hilo.
[1] at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Awsatw” (9083).
- Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fath-ur-Rahiym al-Waduud, uk. 273
- Imechapishwa: 14/06/2020
Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Yule mwenye kupenda kwa ajili ya Allaah, akachukia kwa ajili ya Allaah, akatoa kupeana kwa ajili ya Allaah na akazuia kutopeana kwa ajili ya Allaah, basi kwa hakika imekamilika imani yake.”[1]
Je, yule ambaye moyoni mwake kunapatikana mapenzi kwa watu wa Bid´ah hiyo ina maana kwamba imani na dini yake vina mapungufu?
Jibu: Hapana shaka juu ya hilo.
[1] at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Awsatw” (9083).
Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fath-ur-Rahiym al-Waduud, uk. 273
Imechapishwa: 14/06/2020
https://firqatunnajia.com/mapenzi-kwa-wazushi-ni-dalili-ya-udhaifu-wa-imani/