Swali: Du´aa ya Qunuut katika Witr baada ya Tarawiyh inapendeza mwanzoni mwa mwezi au katika lile kumi la mwisho?
Jibu: Inapendeza daima katika Ramadhaan na wakati mwingine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/794/فتاوى-رمضانية
- Imechapishwa: 30/03/2023