Swali: Pamba kwenye ngozi wanaambatana na ngozi?

Jibu: Hapana, hawaambatani. Sahihi ni kwamba hawaambatani. Endapo atakufa mnyama zinachukuliwa pamba zake; pamba ya wanyamahoa, manyoya ya ngamia na na nywele za mbuzi havina neno. Sahihi si halali wakati wako hai.

Swali: Hiivi sasa ngozi ya wanyamahoa wanauzwa masokoni?

Jibu: Hapana neno. Hapana vibaya ikisafishwa kwa kunyambua ngozi na kuchukua manyoya yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24703/حكم-صوف-الغنم-ووبر-الابل-الذي-على-الجلد
  • Imechapishwa: 29/11/2024