Kufunika vyombo vitupu kabla ya kulala

Swali: Chombo kinapaswa kufunikwa hata kama hakuna kitu ndani yake?

Jibu: Kinatakiwa kufunikwa au kupinduliwa hata kama hakuna kitu ndani yake, kwa sababu kunaweza kushuka kitu kikaingia ndani yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24704/هل-يسن-تغطية-الاناء-ولو-كان-فارغا
  • Imechapishwa: 29/11/2024