Manabii wanavotoa salamu ndani ya Biblia ndivo waislamu hii leo wanavofanya

4Basi, Daudi akiwa huko nyikani alisikia kwamba Nabali alikuwa anawakata kondoo wake manyoya huko Karmeli. 5Hivyo, akawatuma vijana kumi, akawaambia: “Nendeni kwa Nabali huko Karmeli mkampelekee salamu zangu. 6Mtamwambia kwamba Daudi anakusalimu hivi: ”Amani iwe kwako, kwa jamaa yako na yote uliyo nayo.”

  • Marejeo: 1 Samueli 25:04 https://www.bible.com/sw/bible/74/1SA.25.BHN
  • Imechapishwa: 31/01/2020