Swali: Katika mji wetu kumejengwa misikiti kwenye makaburi ya watu wema. Watu wanayatembelea, wanafanya Tabarruk kwayo na wanayaomba. Je, ni juu yetu kuyavunja?
Jibu: Ni mamlaka tu ndio yanayoweza kuyaondosha. Wajibu wenu ni kubainisha. Kunahitajika mamlaka ili kuvunja makaburi.
- Muhusika: Swali: Katika mji wetu kumejengwa misikiti kwenye makaburi ya watu wema. Watu wanayatembelea, wanafanya Tabarruk kwayo na wanayaomba. Je, ni juu yetu kuyavunja? Jibu: Ni mamlaka tu ndio yanayoweza kuyaondosha. Wajibu wenu ni kubainisha. Kunahitajika mamlaka ili kuvunja makaburi.
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2019%20-%2010-%20-1436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Swali: Katika mji wetu kumejengwa misikiti kwenye makaburi ya watu wema. Watu wanayatembelea, wanafanya Tabarruk kwayo na wanayaomba. Je, ni juu yetu kuyavunja?
Jibu: Ni mamlaka tu ndio yanayoweza kuyaondosha. Wajibu wenu ni kubainisha. Kunahitajika mamlaka ili kuvunja makaburi.
Muhusika: Swali: Katika mji wetu kumejengwa misikiti kwenye makaburi ya watu wema. Watu wanayatembelea, wanafanya Tabarruk kwayo na wanayaomba. Je, ni juu yetu kuyavunja? Jibu: Ni mamlaka tu ndio yanayoweza kuyaondosha. Wajibu wenu ni kubainisha. Kunahitajika mamlaka ili kuvunja makaburi.
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2019%20-%2010-%20-1436.mp3
Imechapishwa: 12/02/2017
https://firqatunnajia.com/mamlaka-ndio-yenye-kuvunja-makaburi-kwenye-misikiti/