Malipo kwa ajili ya kujitolea damu

Swali: Inafaa kwa mtu kupokea malipo kwa ajili ya kujitolea kwake damu?

Jibu: Hapana, asipokee chochote juu ya kujitolea kwake damu. Ni haramu. Ni haramu kupokea malipo kwa ajili ya kujitolea damu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 01/01/2021