Malezi ya mtoto wakati ambapo mmoja wa wazazi ni kafiri

Swali 579: Vipi iwapo mmoja wa wazazi ni kafiri katika suala la malezi?

Jibu: Muislamu hupewa kipaumbele.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 203
  • Imechapishwa: 10/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´