Malengo ya walioleta ukomo wa uzazi na upangaji uzazi


Ni wajibu kwa Ummah wa Kiislamu kujua kwamba kujaribu kufanya ukomo wa kizazi au upangaji uzazi ni katika vitimbi vya maadui zetu dhidi yetu. Isitoshe ni jambo linakwenda kinyume na aliopendelea (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kuufanya Ummah huu kuwa mkubwa na kujifakhari (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa Umamh wake juu ya Mitume.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (09) http://binothaimeen.net/content/6726
  • Imechapishwa: 20/11/2020