Swali: Je, imethibiti katika Sunnah ya kwamba jina la Malaika wa mauti anaitwa Israaiyl, kama alivyotaja Shaykh wakati alipokuwa akiorodhesha majina ya baadhi ya Malaika?
Jibu: Sijui juu ya hilo kitu chochote kilichothibiti. Kilichowekwa katika Shari´ah kati ya wanazuoni ni kwamba imekuja katika baadhi ya masimulizi ya kwamba jina lake ni Israaiyl. Lakini sijui juu yake Hadiyth yoyote Swahiyh kuwa jina lake ni Israaiyl. Hakika mambo yalivyo ni kwamba hilo limetajwa katika masimulizi dhaifu ambayo hayajengewi kwayo hoja. Ni kitu tu ambacho kimetangaa kwamba jina lake ni Israaiyl.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1501/حكم-تسمية-ملك-الموت-عزراىيل
- Imechapishwa: 21/12/2025
Swali: Je, imethibiti katika Sunnah ya kwamba jina la Malaika wa mauti anaitwa Israaiyl, kama alivyotaja Shaykh wakati alipokuwa akiorodhesha majina ya baadhi ya Malaika?
Jibu: Sijui juu ya hilo kitu chochote kilichothibiti. Kilichowekwa katika Shari´ah kati ya wanazuoni ni kwamba imekuja katika baadhi ya masimulizi ya kwamba jina lake ni Israaiyl. Lakini sijui juu yake Hadiyth yoyote Swahiyh kuwa jina lake ni Israaiyl. Hakika mambo yalivyo ni kwamba hilo limetajwa katika masimulizi dhaifu ambayo hayajengewi kwayo hoja. Ni kitu tu ambacho kimetangaa kwamba jina lake ni Israaiyl.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1501/حكم-تسمية-ملك-الموت-عزراىيل
Imechapishwa: 21/12/2025
https://firqatunnajia.com/malaika-wa-mauti-anaitwa-israaiyl/