Swali: Uliishi pamoja na Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah) ambaye alikuwa ni mmoja katika maimamu wakubwa wa leo. Tulikuwa tunapendelea kusikia kitu kidogo kuhusu maisha ya imamu huyu?
Jibu: Maisha ya imamu huyu sio kitu kipya kwenu. Mlikutana nacho. Maisha ya Imaam ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah) yanaendana na maimamu wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah waliokuwa kabla yake. Ilikuwa ni maisha yaliyojengwa juu ya elimu, uelewa wa dini ya Allaah, kusoma chini ya wanachuoni, hamu kubwa ya elimu ya Hadiyth na ya Sunnah. Haya ndio yalikuwa maisha ya Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah).
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/02011436.mp3
- Imechapishwa: 27/08/2020
Swali: Uliishi pamoja na Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah) ambaye alikuwa ni mmoja katika maimamu wakubwa wa leo. Tulikuwa tunapendelea kusikia kitu kidogo kuhusu maisha ya imamu huyu?
Jibu: Maisha ya imamu huyu sio kitu kipya kwenu. Mlikutana nacho. Maisha ya Imaam ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah) yanaendana na maimamu wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah waliokuwa kabla yake. Ilikuwa ni maisha yaliyojengwa juu ya elimu, uelewa wa dini ya Allaah, kusoma chini ya wanachuoni, hamu kubwa ya elimu ya Hadiyth na ya Sunnah. Haya ndio yalikuwa maisha ya Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah).
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/02011436.mp3
Imechapishwa: 27/08/2020
https://firqatunnajia.com/maisha-ya-ibn-baaz/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)