Swali: Je, kuna tofauti kati ya nyama ya ngamia, maini na matumbo yake?
Jibu: Hakuna tofauti. Vyote vinachengua wudhuu´.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 119
- Imechapishwa: 01/07/2022
Swali: Je, kuna tofauti kati ya nyama ya ngamia, maini na matumbo yake?
Jibu: Hakuna tofauti. Vyote vinachengua wudhuu´.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 119
Imechapishwa: 01/07/2022
https://firqatunnajia.com/maini-na-matumbo-ya-ngamia/