Swali: Je, inafaa kukaa chemba na mahram ambaye hamuogopi Allaah (´Azza wa Jall)?
Jibu: Msingi ni kufaa. Lakini ikiwa unachelea kutoka kwake usikae naye faragha. Akiwa ni mwenye dini kidogo au hana kabisa basi usikae naye chemba. Katika hali hiyo haitojuzu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21926/حكم-الخلوة-بالمحرم-الذي-لا-يخاف-الله
- Imechapishwa: 18/12/2022