Swali: Mtu akiswali Maghrib kisha akairudi pamoja na mkusanyiko kwa kunuia swalah ya sunnah. Je, aiswali Rak´ah mbili au tatu?
Jibu: Akiirudi pamoja na mkusanyiko basi aiswali Rak´ah tatu. Kwa sababu swalah iliyopendekezwa ni yenye kuvuliwa pindi inaposwaliwa na mkusanyiko.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (18)
- Imechapishwa: 16/01/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)