Swali: Ipi hukumu ya kuuza gazeti za fedheha na sigara?
Jibu: Gazeti ambazo zina picha haijuzu kuziuza. Magezi ambazo zina picha za fedheha – na tunamuomba Allaah afya – haijuzu.
- Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=87
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Ipi hukumu ya kuuza gazeti za fedheha na sigara?
Jibu: Gazeti ambazo zina picha haijuzu kuziuza. Magezi ambazo zina picha za fedheha – na tunamuomba Allaah afya – haijuzu.
Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=87
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/magazeti-ya-mapicha/