Maeneo ambayo kunanyanyuliwa mikono ndani ya swalah

Swali: Aliyekuja kuchelewa akijiunga sehemu ya mwisho ya swalah na imamu anyanyue mikono yake?

Jibu: Anyanyue mikono yake wakati wa Takbiyrat-ul-Ihraam, wakati wa kurukuu na wakati wa kuinuka kutoka hapo.

Swali: Ainue mikono yake hali ya kuwa ameketi au amesimama?

Jibu: Wakati wa kusimama na katika hali ya kusimama.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23749/ما-مواضع-رفع-اليدين-في-الصلاة
  • Imechapishwa: 19/04/2024