Madhehebu Mane Ni Yenye Kushikamana Na Mfumo Wa Salaf

Swali: Je, kuna tofauti yoyote kati ya mfumo wa Salaf na madhehebu mane?

Jibu: Madhehebu mane ni katika mfumo wa Salaf. Hayakutoka. Lau yengelikuwa yametoka yasingelikubaliwa. Yanafuata mfumo wa Salaf-us-Swaalih na himdi zote ni za Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mqirwani–14340317.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2015