Swali: Ni vipi tutajibu utetezi kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa vigezo vya Shari´ah? Je, maandamano ni njia moja wapo ya Kishari´ah?

Jibu: Kuwarudi maadui wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kunakuwa kwa mujibu wa yale yaliyokuja katika Kitabu cha Allaah na Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hatutakiwi kuzua vigezo wala istilahi kutoka kichwani mwetu. Wala hatutakiwi kuzua mambo ambayo hayakuweko hapo awali kama vile maandamano, kelele na mfano wa hayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Innaa kafaynaak Tarehe: 1429-02-21/2008-02-28
  • Imechapishwa: 29/08/2020