Maandamano ni Bid´ah inayodhuru tu

Swali: Je, amepatia mwenye kusema kwamba maandamano ya leo yanaonesha roho ya Kiislamu na yanachangia haki?

Jibu: Uislamu hauamrishi maandamano, fujo wala Bid´ah hizi ambazo zinapelekea katika madhara mengi na hayachangii manufaa yoyote.

Check Also

Pale ambapo maandamano yanapelekea katika madhara makubwa zaidi

Kwanza ikiwa mtawala ni muislamu na hajatoka katika Uislamu, haijuzu kabisa kumfanya uasi. Atafanyiwa subira. …