Lini unaanza wakati wa jioni na lini unaisha?

Swali: Ni lini unaanza unaanza kuingia wakati wa jioni na lini unaisha?

Jibu: Mwishoni mwa mchana ni jioni na mwanzoni mwa mchana ni asubuhi. Akizisoma baada ya Maghrib bado pia ni wakati wa jioni:

فَسُبْحَانَ اللَّـهِ حِينَ تُمْسُونَ وَحِينَ تُصْبِحُونَ

”Basi msabihini Allaah mnapoingia jioni na mnapoingia asubuhi.”[1]

Baada ya kuzama kwa jua kunaitwa ´jioni`.

[1] 30:17

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24458/متى-يبدا-وقت-المساء-والصباح-ومتى-ينتهي
  • Imechapishwa: 17/10/2024