Swali: Ni kwa kitu gani mtu anawahi swalah ya mkusanyiko?
Jibu: Swalah ya mkusanyiko inadirikiwa kwa Rak´ah moja. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
”Yule anayewahi Rak´ah katika swalah, basi ameiwahi swalah.”
Hivo ndivo amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ambaye amewahi chini ya Rak´ah basi amekosa swalah ya mkusanyiko. Hata hivyo swalah yake inasihi, ingawa amekosa fadhilah za swalah ya mkusanyiko.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1076/بما-تدرك-الجماعة
- Imechapishwa: 15/12/2025
Swali: Ni kwa kitu gani mtu anawahi swalah ya mkusanyiko?
Jibu: Swalah ya mkusanyiko inadirikiwa kwa Rak´ah moja. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
”Yule anayewahi Rak´ah katika swalah, basi ameiwahi swalah.”
Hivo ndivo amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ambaye amewahi chini ya Rak´ah basi amekosa swalah ya mkusanyiko. Hata hivyo swalah yake inasihi, ingawa amekosa fadhilah za swalah ya mkusanyiko.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1076/بما-تدرك-الجماعة
Imechapishwa: 15/12/2025
https://firqatunnajia.com/lini-mtu-anahesabiwa-kuwahi-swalah-ya-mkusanyiko/