Swali: Kipindi cha nyuma kumeenea msemo unaosema ya kwamba Ashaa´irah na Maaturiydiyyah ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Ni ipi taaliki yako kwa msemo kama huu?
Jibu: Ni lini walikuwa ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wakati wanawafanyia uadui Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na wanawanyanyasa kutokana na historia? Ni lini walikuwa ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wakati wanafasiri:
الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ
“Mwingi wa Rahmah, Amelingana juu ya ´Arshi Yake.” (20:05)
ametawala na hawathibitishi kulingana, al-Istiwaa´?
Ni lini walikuwa ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wakati wanasema kuwa matamshi ya Qur-aan yameumbwa na maana yake inatoka kwa Allaah? Watu sampuli hii ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah? Kamwe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-1-30.mp3
- Imechapishwa: 11/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)