Swali: Vipi kuhusu lenzi za macho za wanawake?

Jibu: Tahadhari zaidi ni kuziacha. Isipokuwa ikiwa zinamsaidia mtu kuona na kunufaisha katika kutazama.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23111/حكم-عدسات-العين-الملونة-للمراة
  • Imechapishwa: 03/11/2023