Je, ´Umrah ndani ya Ramadhaan ni bora kushinda Dhul-Hijjah?

Swali: Bora ´Umrah katika miezi mitukufu au ndani ya Ramadhaan?

Jibu: Ndani ya Ramadhaan. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“´Umrah ndani ya Ramadhaan inalingana na hajj.”

Imekuja katika tamko jengine:

“… ni kama aliyehiji pamoja nami.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23108/هل-العمرة-في-رمضان-افضل-من-اشهر-الحج
  • Imechapishwa: 03/11/2023