Lazima katika ndoa wahudhurie watu wanne

Swali: Vipi ikiwa mwanaume amefunga ndoa na mwanamke na hakuhudhuria isipokuwa walii wake na shahidi mmoja mbele ya maudhuni na mwanamke ameridhia hilo, je, hilo linatosha au ni batili?

Jibu: Haitoshi isipokuwa kwa mashahidi wawili. Lazima wawepo mashahidi wawili pamoja na mume na pamoja na walii. Watu wanne wanapaswa kuhudhuria katika ndoa: walii, mume na mashahidi wawili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3249/حكم-الاكتفاء-بشاهد-واحد-عند-عقد-الزواج
  • Imechapishwa: 06/08/2026