Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah amlaani anayemtetea mzushi.”
Je, anaingia ndani yake anayemsifu mzushi?
Jibu: Kumtetea kunakusudiwa kumnusuru na kumuhami. Hadiyth inamkusudia anayemnusuru na kumuhami asisimamishiwe adhabu na asitiwe adabu. Akimtia nguvu na kumnusuru ndio baya zaidi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22978/هل-يدخل-مدح-المبتدع-في-من-اوى-محدثا
- Imechapishwa: 06/10/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)