Swali: Ni ipi hukumu ya kuingia katika ukumbi wa kuangalia sinema?
Jibu: Tunamuomba Allaah Atengeneze hali. Tunamuomba Allaah azitengeneze nyoyo zetu na matendo yetu. Tunamuomba Allaah awawafikishe watawala wetu kwa kila kheri. Bila ya shaka nyukumbi kama hizi zina maovu mengi ikiwa ni pamoja na mchanganyiko wa wanaume na wanawake.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=11649
- Imechapishwa: 17/11/2014
Swali: Ni ipi hukumu ya kuingia katika ukumbi wa kuangalia sinema?
Jibu: Tunamuomba Allaah Atengeneze hali. Tunamuomba Allaah azitengeneze nyoyo zetu na matendo yetu. Tunamuomba Allaah awawafikishe watawala wetu kwa kila kheri. Bila ya shaka nyukumbi kama hizi zina maovu mengi ikiwa ni pamoja na mchanganyiko wa wanaume na wanawake.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=11649
Imechapishwa: 17/11/2014
https://firqatunnajia.com/kwenda-katika-nyukumbi-za-filamu-2/