Swali: Ni kwa nini walinganizi wa shirki wanaitwa “makhurafi”? Nini maana yake?
Jibu: Kwa sababu wanategemea mambo ya kikhurafi yasiyokuwa na asli. Wanaviegemeza vitu hivyo na ukhurafi. Ukhurafi ni vitu visivyokuwa na asli katika Qur-aan na Sunnah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (44) http://alfawzan.af.org.sa/node/2150
- Imechapishwa: 06/09/2020
Swali: Ni kwa nini walinganizi wa shirki wanaitwa “makhurafi”? Nini maana yake?
Jibu: Kwa sababu wanategemea mambo ya kikhurafi yasiyokuwa na asli. Wanaviegemeza vitu hivyo na ukhurafi. Ukhurafi ni vitu visivyokuwa na asli katika Qur-aan na Sunnah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (44) http://alfawzan.af.org.sa/node/2150
Imechapishwa: 06/09/2020
https://firqatunnajia.com/kwanini-walinganizi-wa-shirki-wanaitwa-makhurafi/