Wachawi wanamtisha aache matabano

Swali: Mimi ni msomaji Ruqyah ambaye ninawasomea wahitaji na wagonjwa na sipokei pesa hata moja. Ninachotaka ni ujira kutoka kwa Allaah na ninamuomba anikubalie kitendo changu. Nimejiwa na wachawi na mashaytwaan ambao wamenitisha na kuniudhi mimi na familia yangu. Je, niache Ruqyah kwa ajili ya jambo hili. Unaninasihi nini?

Jibu: Mtegemee Allaah na usiache Ruqyah. Usiache Ruqyah na usitishike na vitisho vyao.

Check Also

Kuwataka msaada majini wakati wa matabano

Swali: Je, inafaa kutaka msaada kutoka kwa jini muislamu juu ya kumtoa nje shaytwaan kutoka …