Kwanini Shiy´ah wanajipiga kwenye magoti wakati wa swalah?

Swali: Ni ipi hukumu ya Shari´ah juu ya yule mwenye kupiga mapaja yake kabla ya kutoa salamu kutoka katika swalah na baada ya Tashahhud ya mwisho? Je, jambo hilo lina msingi?

Jibu: Kufanya hivi kunaweza kuwa ni miongoni mwa alama za Raafidhwah ambapo wanaashiria kuwa Jibriyl alikosea katika ujumbe. Ikiwa hii ndio maana yake basi hii ni dalili ya kwamba huyu ni Raafidhwiy. Mtu huyu anakuwa ni mwenye kuritadi ikiwa anaamini imani hii.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191047#191047
  • Imechapishwa: 03/09/2018