Kwanini asikufurishwe mwenye kusema Allaah yuko kila mahali?

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kupinga Allaah kuwepo juu ya ´Arshi; anakufuru au hakufuru?

Jibu: Anakufuru. Akisema kuwa Allaah yuko kila mahali anakufuru. Kwa sababu atakuwa ni mwenye kumkadhibisha Allaah, Mtume Wake na makubaliano ya waislamu. Waislamu wote wamekubaliana kuwepo juu kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala), juu ya viumbe vyote. Huyu atakuwa ni katika Huluuliyyah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-18.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020