Swali: Atayesimamishiwa hoja katika Jahmiyyah, Mu´tazilah au Suufiyyah na asikubali anakufuru kwa dhati yake?
Jibu: Haina shaka. Akisimamishiwa hoja na akakataa haina shaka juu ya ukafiri wake. Kwa kuwa udhuru wake utakuwa umeondoka. Baada ya ubainifu udhuru wake utakuwa umeondoka. Haya wameafikiana kwayo wanachuoni ya kwamba akibainishiwa na akakataa baada ya ubainifu anakuhumuwa ukafiri. Atakuwa hana udhuru baada ya hapo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Furqaan (10) http://alfawzan.af.org.sa/node/2053
- Imechapishwa: 27/01/2017
Swali: Atayesimamishiwa hoja katika Jahmiyyah, Mu´tazilah au Suufiyyah na asikubali anakufuru kwa dhati yake?
Jibu: Haina shaka. Akisimamishiwa hoja na akakataa haina shaka juu ya ukafiri wake. Kwa kuwa udhuru wake utakuwa umeondoka. Baada ya ubainifu udhuru wake utakuwa umeondoka. Haya wameafikiana kwayo wanachuoni ya kwamba akibainishiwa na akakataa baada ya ubainifu anakuhumuwa ukafiri. Atakuwa hana udhuru baada ya hapo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Furqaan (10) http://alfawzan.af.org.sa/node/2053
Imechapishwa: 27/01/2017
https://firqatunnajia.com/kwanini-asikufurishwe-jahmiy-mutaziliy-au-suufiy-baada-ya-kusimamishiwa-hoja/