Swali: Mnawahukumu vipi Shiy´ah na khaswa wale wenye kusema kuwa ´Aliy yuko katika ngazi ya utume na kwamba Jibriyl alikosea kwa kuteremka kwake kwa Muhammad?
Jibu: Shiy´ah ni mapote mengi. Wale miongoni mwao wenye kusema kuwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) yuko katika ngazi ya utume na kwamba Jibriyl (´alayhis-Salaam) alikosea kwa kuteremka kwake kwa Mtume wetu Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni makafiri.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (266/02)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Mnawahukumu vipi Shiy´ah na khaswa wale wenye kusema kuwa ´Aliy yuko katika ngazi ya utume na kwamba Jibriyl alikosea kwa kuteremka kwake kwa Muhammad?
Jibu: Shiy´ah ni mapote mengi. Wale miongoni mwao wenye kusema kuwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) yuko katika ngazi ya utume na kwamba Jibriyl (´alayhis-Salaam) alikosea kwa kuteremka kwake kwa Mtume wetu Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni makafiri.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (266/02)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/kwanini-asikufurishwe-anayesema-kuwa-jibriyl-alileta-wahy-kimakosa/