Swali: Tumeona tofauti nyingi katika baadhi ya vitabu ambapo tumesoma ya kwamba ´Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anh) ndio Mtume na vitabu vingine vimesema kuwa ni Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kwamba sio ´Aliy.
Jibu: Mwenye kusema ´Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anh) ndio Mtume wa Allaah ni kafiri. Anatakiwa kubainishiwa haki kwa dalili na aelekezwe kuwa Muhammad bin ´Abdillaah ndio Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na sio ´Aliy. Akitubu, ni vizuri, akiendelea mtawala amuue kwa kuwa ameritadi kutoka katika Uislamu.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/263)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)