Swali: Tumeona tofauti nyingi katika baadhi ya vitabu ambapo tumesoma ya kwamba ´Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anh) ndio Mtume na vitabu vingine vimesema kuwa ni Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kwamba sio ´Aliy.

Jibu: Mwenye kusema ´Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anh) ndio Mtume wa Allaah ni kafiri. Anatakiwa kubainishiwa haki kwa dalili na aelekezwe kuwa Muhammad bin ´Abdillaah ndio Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na sio ´Aliy. Akitubu, ni vizuri, akiendelea mtawala amuue kwa kuwa ameritadi kutoka katika Uislamu.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/263)
  • Imechapishwa: 23/08/2020