Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuzungumza na rafiki yake ikiwa pembezoni mwoa kuna ambaye anasoma Qur-aan kwa sauti ya kusikika?

Jibu: Ikiwa wanashawishana… Msomaji asipaze sauti yake na kumshawishi aliye pembezoni mwake na kadhalika wenye kuzungumza wasipaze sauti zao na kuwashawishi wenye kuswali, wenye kusoma Qur-aan na wenye kufanya Dhikr walio pembezoni mwao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13379
  • Imechapishwa: 24/06/2020