Swali: Imamu akizidisha au akipunguza Takbiyr wakati wa swalah ya ´iyd. Je, anatakiwa kusujudu sijda ya kusahau?
Jibu: Hapana, asisujudu sijda ya kusahau. Swalah yake haidhuriki kwa kuacha zile Takbiyr zote zenye kuzidi. Swalah yake ni sahihi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
- Imechapishwa: 31/05/2019
Swali: Imamu akizidisha au akipunguza Takbiyr wakati wa swalah ya ´iyd. Je, anatakiwa kusujudu sijda ya kusahau?
Jibu: Hapana, asisujudu sijda ya kusahau. Swalah yake haidhuriki kwa kuacha zile Takbiyr zote zenye kuzidi. Swalah yake ni sahihi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
Imechapishwa: 31/05/2019
https://firqatunnajia.com/kuzidisha-au-kupunguza-takbiyr-za-swalah-ya-iyd/