Kuyakusudia maji ya mvua yakunyeshee juu ya mwili

Swali: Inaponyesha mvua nikiwa ndani ya nyumba au kwenye gari na ninataka mwili wangu unyeshewe na mvua, je, ni jambo la lazima?

Jibu: Ndio, alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akitoka kwenye mvua na kuacha mvua inyeshe juu ya mwili wake mtukufu na juu ya kichwa chake na huku akisema:

“Punde tu ndio imetoka kwa Mola wake.”

Bi maana mvua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18247
  • Imechapishwa: 18/07/2020