Swali: Je, kichinjwa kimoja kwa ndugu wawili wa damu wanaoishi katika nyumba moja pamoja na watoto wao ambapo huchangia chakula na kinywaji chao?

Jibu: Ndio, inafaa watu wa nyumba moja wakatosheka na kichinjwa kimoja. Haijalishi kitu hata kama wanaishi familia mbili. Kwa kufanya hivo wanapata fadhilah za Udhhiyah.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (25/36)
  • Imechapishwa: 18/07/2020