Swali: Inafaa kwa anayefanya Ihraam kunywa chai na kahawa ilio na zafarani?

Jibu: Hapana, ajiepushe na zafarani. Inafaa kwake kunywa kahawa na chai ya kiarabu, lakini pasi na zafarani. Kwa sababu zafarani ni aina moja wapo ya manukato. Kadhalika inahusiana na nanaa kwa sababu ni aina fulani ya manukato.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 02/02/2020