Swali: Ikiwa nguo au maeneo yatalowa kwa mkojo wa mtoto wa kike kisha kwa mfano akaweka nguo hii juu ya kiti – je, kiti hicho kinakuwa najisi? Tutakitwahirisha vipi ikiwa inanajisika?
Jibu: Nguo ikilowa kwa mkojo wa mtoto wa kike na akaiweka juu ya kiti ilihali imelowa kutokana na mkojo, basi kinanajisika kile kilichowekewa juu yake na kinasafika kwa kuoshwa kwa maji. Ikiwa nguo hiyo ni kavu basi hakinajisiki kile kilichowekewa juu yake.
´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy
´Abdullaah bin Ghudayyaan
´Abdullaah bin Qu´uud
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah (05/408) nr. (8540)
- Imechapishwa: 09/06/2022
Swali: Ikiwa nguo au maeneo yatalowa kwa mkojo wa mtoto wa kike kisha kwa mfano akaweka nguo hii juu ya kiti – je, kiti hicho kinakuwa najisi? Tutakitwahirisha vipi ikiwa inanajisika?
Jibu: Nguo ikilowa kwa mkojo wa mtoto wa kike na akaiweka juu ya kiti ilihali imelowa kutokana na mkojo, basi kinanajisika kile kilichowekewa juu yake na kinasafika kwa kuoshwa kwa maji. Ikiwa nguo hiyo ni kavu basi hakinajisiki kile kilichowekewa juu yake.
´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy
´Abdullaah bin Ghudayyaan
´Abdullaah bin Qu´uud
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah (05/408) nr. (8540)
Imechapishwa: 09/06/2022
https://firqatunnajia.com/kuweka-nguo-ya-mkojo-maeneo-fulani/