Swali: Mwanaume ameharamishiwa kuvaa dhahabu. Je, inafaa kuwauzia cheni za shingoni wanamme?

Jibu: Hapana, haijuzu ikiwa malengo wanamme wazivae, kufanya hivo ni kusaidiana katika madhambi na uadui. Lakini kama anamnunulia mke wake au msichana wake, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 17/04/2021