Swali: Kuna wanafunzi wanaokuja msikitini mapema kufuatilia darsa na wanatenga maeneo kwa ajili ya marafiki zao ambao bado hawajafika. Je, inafaa?
Jibu: Ikiwa wana uhakika kuwa watakuja, hapana neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 11/06/2023